IQNA – Mufti Mkuu wa Tunisia, Sheikh Hisham Ben Mahmoud, ametoa heshima zake kwa kiongozi shujaa wa Mapinduzi ya Kiislamu, Shahidi Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, akielezea mwito wake wake kuhimiza umoja , mshikamano, na uvumilivu miongoni mwa Waislamu kama mwendelezo wa ujumbe wa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3482447 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/06